AMANI KENYA

Abari zenu wananchi. Hapa kwenye gumzo la Kenya tupo kutoka sehemu tofauti za taifa letu takatifu. Naomba mtazame ujumbe huu na baada ya kupiga kura yako urejee kwako na usubiri matokeo. Mshindi akipatikana kubali tu. Yani ile style ya SPORTPESA ukishapoteza unangoja next bet. Good day my fellow Kenyans n I luv U all.

4 Likes

Kisweli sio mdomo chako

Abari=Habari

hii story ya amani imezidi. watu wachapane kiasi. (walinda kura vs Police)

Lakini ujumbe umefika? @mukuna n Tiriitiondo

Ebu enda ulinde kura then utatuchapia vile mtakabiliana na polisi

1 Like

Nmekuelewa mr. @gay254 ujumbe mwanana

Kush wewe ni Meffi sana. Eti Mr? Hahaaaa

1 Like

[ATTACH=full]117366[/ATTACH]