Am lookin for Brand New Laptops in Nairobi

Hellow Am looking for a Store or Seller where i could buy Affordable but Grest Quality BRAND NEW Laptop Around Nairobi Urgently…Thanks In Advance

budget yako ni how much?
and specs untaka ni gani? kazi ya laptop itakua gani pia?
if ur looking for a laptop hizi ni vitu unafaa kua ushasema budah.

hujui duka?

hii ndo quality ya nyama za wakanyama ama nini? ako wapi Messi na osung.jpeg

@snapdragon kuja kuna mteja hapa… Lakini ngoja atoke jela , kwanza, “alingia APs nyuma jana Kabooom”

1 Like

Budget yangu ni mpaka 3500ksh…itakua inatumika for vsrious uses…specs from 4GB 500Gb hdd,2.0ghz core i5…also am looking for something slim

Yes i dont

I meant great…ilikua ni typo

basi hata huku sio duka,foolish man

ati 3500 buda? as in three thousand five hundred? hiyo hata laptop imearibika ikachapa yake yote uwes -get… labda mawaya ziko uko ndani ndo u can get na 3500

1 Like

lemme assume u meant 35k… iyo u will get plus hizo specs unadai but with integrated intel graphics card; with intel graphics card there are some apps and games which wont run. ongeza mkwanja and get a lappy with all those specs with Nvidia graphics card machine will run all games, apps and softwares. Moi avenue kuna Stewan shop there is a very big sign board u cnt miss it or ask around they have they machine u need. ama olx.

@Bboy check the pics i have uploaded. pic 1 has a better design and finishing than pic 2. nunua laptop kama hii iko kwa pic 2 next year utalia kwa chyoo usitapeliwe
.
[ATTACH=full]17021[/ATTACH]
.
[ATTACH=full]17022[/ATTACH]

35000

wewe utauziwa refublished one… 35k … na hapa kulikuwa na kamjamaa kanauza i7 juzi ka twitter

Shops are many take a walk along moi avenue or kenyatta avenue there are many shops ,you cant miss one

1 Like

Call Stewan (0722 435600) or Arctic Computers (0722 826245) those are a few of the best shops u can inquire from.

2 Likes

btw arctic is a good shop

Thanks

for quality genuine laptops google Ravenzo wako westy.Fair prices on IT products

http://www.ravenzo.com/