Elders nmekua nikicheza chini tangu @Electronics4u na @idiamin wanipeane kwa DCI. Story for another day.
Sasa leo after tumebreak shule nmeenda kwa mjengo nilikua nmeweka fundi kufanya finishing mdogo mdogo. Nmeona wamefinya Sana place ya kuweka cooker na pia sahani ya choo iko chini sana.
tile za black kwa choo ni za nini ? makes the place feel dirty. i once went to a massage parlor, and immediately left once i realized they had black towels.
nice job though.
Wanaume wakiongea mambo za ujenzi, wewe unaleta mambo za umalaya. Na ukiambiwa uko na IQ kama ya panya imekunywa sumu unacatch feelings unataka kuniroga kwa waganga wa Kathonzweni.
Ongeza height ya hii pavement ama uitoe kabisa ju hapo ni vidole utaumiza kila siku. Ni bathroom/toilet combo? Sliding door?[ATTACH=full]447607[/ATTACH]
Lakini wee ni mtu bure burukenge kabisa. Mwalimu tumekua nae tukimshika mkono tangu foundation … n doesn’t matter if it’s just a dream. Let the man dream. Hakuna kitu unikatsia kaa mwanaume ako na wivu kuona mwenzake akijiendeleza. Bloody nugu…
Good, but the black tiles make your toilet and kitchen feel cold just by looking at them. Hapo bulbs utaweka za 30 wattt, daylight to offset that feeling.