Aluta Continua

So hii sato ya jana nimeamua najaribu bahati na huyu momo kwa ofisi ya platinums next door. I’ve been admiring this lady for quite a while, everything about her is just perfect, from the way she walks and the smile she gives everytime I say hi, to that thick luscious body of hers. Damn!!!
Anyway first forwad nimempeleka out tilapia wetfry imekuja, nimemfundisha how to disect a fish na nikachomoa ile Johnny Walker platinum label that was meant for Sofia’s best friend . huyu singepeleka ale doggy za waka akia ang’owa cha. Nimemchekesha momo io time yote hadi late. Time ya twende kwangu imefika she tells me she can’t sleep out coz she has 2 kids a 12 year old Pires and a five year old nimesahau jina .
Being a gentleman, siku argue sana nikaamua kumdrop tu komayole… Niliskia uchungu sana nikirudi kwangu na hutu tutoto Sofia. She always comes through.
Hata hivo sijamalizana na huyu mama Pires, ndo nimeanza.

ukimalizana nayeye ukuje uketi pale
[ATTACH=full]66239[/ATTACH]

Olundi

hapa si kenyatta market unapeana ya kuonja…unapeana yote au unakaa huko------------------------->

Use your other handle Pris

I bet huyo mwingine alikuwa anaitwa Sanchez. @uwesmake amekamuliwo msapere

na sasa tumejua unafanya job KQ pale Barclays Plaza 6th floor.

Sawa jicho kavu

Ebu elezea more about this momo…

NV, next time story ka hii unaweka kwa Hekaya

Don’t be fooled, hapa NV ni wewe. Hii si hekaya, unaelewa maana ya hekaya?

brarre fwackin shiet! Kama hakuna mbicha hiyo ni hekaya. shienz!

Ya mama Pires ama ya sofia? Sofia ngoja machachari utamwona