Alpha male

Sasa Bwana Ayub who is @Man_From_Kitale hapa alifika nyumbani, anataka supper, bibi yake Jane anabomoa nywele. Akamwambia kama hutaki kupika sema. Bibi akaendela kutoa nywele. Mwishowe vile Jane akaamua kuwasha moto, Ayub akakuja kumwagia maji kwa moto :joy:. Patanisho inakuanga tu comedy script na the entire program imebebwa na waluhya.

3 Likes

Brainrot shit cant watch

3 Likes

B.E.T (Bonobo Entertainment Television)

9 Likes

Pata who?

Jeff Goldblum GIF by BuzzFeed

You might be a low IQed ghasia to listen that shit show.

5 Likes

Upus content targeting watu wa ocha

3 Likes

Low IQ content for the brainless puppet buffoons

3 Likes

Naona wafula amefika hii kijiji

Listening to that nonsense you can literally hear your braincells dying.

Ata Maina Kageni huwa simsikizi. Morning hours nipate Spice FM. From saa nne Niko Nation FM coz ni ngoma tu.

Radio jambo achia low IQ bonobos with a 2KB brain capacity .

4 Likes

Haha. Kama huwezi skia hiyo, skia hii ya kutoboa siri design @Yuletapeli alingojea dem amalize high school tu hivi akamfinya. Alianza kumkatia akiwa shule :joy:

2 Likes

Thinking the same. Hizo show huwa down ka pipes za shonde

1 Like

:joy::joy: Kuna hii na ile ingine Dem mluhya husema huwa anapigwa shtick na babake wa kambo.

2 Likes

Sijui waluhya hutoa wapi hii kiswahili ati baba wa kambo, mara mama mkwe vitu sijawahi skia kwa 844 system.

Waluhya ni watu unique sana.

1 Like

:green_emoji: :green_emoji: but that is swahili proper, if you overlook the lunje accent.

1 Like

Kuna mwingine tulikua tunafaa tupatane town ananisho tupatane kwa mkahawa :joy:

2 Likes