Almost coming home Wadau.

Politics has no permanent friends or permanent enemies.
Only permanent interests.
Tunakuja nyumbani Wadau.

[ATTACH=full]494741[/ATTACH]
Nitawajulisha vile kumeenda…

we shall soon be a one party political state

in a one party political state voters will look at competence, not your party. Vyama mingi imeharibu kenya.

Kenya is a country of very greedy & selfish people. They can sale their mother for money. Bure kabisa. Ngombe ici

Moi tactics

Nyinyi mnadhani ruto anatoa pesa kwa mfuko yake kurushiwa Hawa watu mtama? More and more taxes will continue all over

Patiwa mbili baridi na uwache kuwa kigeugeu

Sibadilishi msimamo. Niko nyuma ya Ruto hadi mwisho

Nyuma ya Ruto doing what?

Hii ni tactic ya kumaliza cartel (kenyattas)

Mizizi ya mti imekwatwa yote, now waiting for it to fall at its pleasure.

Else upoteze Kibarua?