Almost 6ft under.

Wakuu, leo karibu Elgin aingie 6ft under! Yo see, nimekuwa games tangu jana, then was assigned to officiate hammer throw, jana tukachapa poa sana, then leo nikiwa kwa field was the guy to measure hio throw, mimi nikapigiwa simooo nikarecieve, then mwanafunzi akathrow hio hammer na sioni, meen, hio kitu ilianguka a few ft where I was standing! Makosa, the meffi ref is supposed to alert everyone in the course, Narrow xcape wadau.

Noma hio

Ingekupata kwa groin, ungekuwa No-baller!

Makende haina balaa sana. Kichwa maze!

happy for you mwarimu but umetuangusha sisi warimu na hiyo xcape.

Haha pole mwarimo, lakini kwa hio xcape si usikize ngoma kadhaa za xcape, umefikisha syllabus wapi mwalimu?

Eeeh? Mboss mbila meya, si utakuwa kama kiveti?

Techa, i didnt think you’re such a slow one,that student didnt it intentionally. Kuwa marafiki na student and treat them well, lest tutakuja mazishi…ni hayo tu.
We were once students and we know better…Uliza @uwesmake waht he did to his Engrich tesha.

If it didn’t happen then it wasn’t meant to happen.

@Elgin ile story yako na yule barmaid iliishaje?

kuna jamaa tukiwa high school aligongwa kichwa na hiyo shot put. he was lucky as it just glanced off his head at an angle, it wasn’t a direct hit

Mkuu, huyo mwanafunzi sio wangu , tulikuwa at sbcounty level, so hakuwa na ill intentions, ule meffi ni reff, he was supposed to alert me, but maybe ni mambo ya election fever alikuwa anataka animalize cuz wanajua mimi ni mtu ya chupilee.

Hehe hio story ni mimi na ktalk tunajua hadi wa leo,hehehe bado unakumbuka bana!niliacha kunywa legend bana.

Am talking about hammer mkuu, jamaa amespin mara kama sita then akaachilia!

Umeanza ufala ya MFW ya kuwa na similar experience to anything anyone posts?

mathighs kujia pilsner 7 utulie

Hehehehe

Samehea huyu kijana bana for the sake of the generous sisters, ukinitembelea ukambani utakula kuma sita na ubebe gunia ya maembe bana.

huwezi export huku Nairobi, hadi utembelewe?

I once saw a lady being hit by a hockey ball kwa kichwa we all thought she was dead. She took it like a man hadi tukashtuka