mi nangoja hii
I hope itakuwa kali considering sio japanese anime.
hii musuri
na by the way hizi movies/series za Korea ziko sawa. Unaweza suggest nyingine
Watch train to Busan pia iko along hizi lines… Ni ya back ka 2017
Let me note it somewhere, nitaikalia Sunday. Sandsana
mimi movies zolinishinda kabisa labda nitajaribu kuona hii . The last time I sat to watch one was in 2020
Bookmark you early man
Itabidi. Hebu pia tafuta series inajiita “the oval”…Iko sawa. Ilinijazz.
Sija watch nyingi ni kitu najifunza kuzoea.
Parasite is awesome in so many ways the Oscar award for the director was well earned.
Pia hii nitaicheki weekend
Solid series, Koreans wamedisplace Bazungu from Zombie shit. I would give the Movie 8.5/10. Nategea Part 2.
Train to Busan, Peninsula na #Alive. The first two haziko Netflix lakini.
Nitazipata wapi? And I thought nime exhaust list ya movies
#Alive iko Netflix alafu hizo zingine tumia hii site: watchmovieshd.ru (it’s a Russian site, very clear and stable)
Cool
Hii Korean soft meat ilinimalysia sana. Nateseka moyoni sana.
[ATTACH=full]444903[/ATTACH]
Class president