Wanajua kabisa kinachowashinda wengi kusajili ni gharama zisizoendana na kipato cha bloggers wala sio muda.[ATTACH=full]176421[/ATTACH]
Jamani i miss home huku japo tumepata hifadhi lakini naona chenga i
Poleni sana maana harufu ya kufeli kwa kile mnachokusudia inaanza kujionesha
na Amini nawaambieni kadri ,muda unavyozidi kusonga ndivyo hatari ya kile musichokipenda
inavyozidi kuwa kubwa.
Bado tunasubiri kanusho kwamba hawajasema kuzifungia blog or forums au kuzitaka zisipost maudhui(Content) zozote…
Cc: @Mahondaw
sasa itabidi mkipanda ndege mlipishwe choo…sio mnakuuuuunya tu bure.ona hapa
Ndege nchini India zitakazoangusha kinyesi cha binaadamu kutoka angani zitapigwa faini ya Rupee 50,000 sawa na dola 736 mahakama imeamuru.
nyumbani nyumbani
Hapo watakuwa wanamsubiri Melo na JF yetu.
Mbona huku tuko poa tuuuu tuuuu?
Me too…huku pamepoa sana na watu wengi hawana taarifa ya uwepo wa Jf huku.
Always home is greater than anywhere
Hizi ID mpya nazo mizinguo tu
Nikweli kuko poa kiasi. Ila tumezimiss zile hifadhi za madini ya jf ilizonazo. Jf ni kama google tz
Kambi popote mkuu!!!
Wape taarifa…
Yan niko kama mgonjwa japo tunakutana huku lakini bado jf is the best
Kwa wengine ni sawa kiasi ni kikubwa ila kwa jf tatizo ilikuwa sio pesa ila kuna zengwe specific kwa jf tu!!na kwa masharti yao kamwe tusingeweza toboa hao wengine ni kenge tu wamenaswa kwenye mtego wa mamba!!usishangae baada ya kumkosa mamba waliokusudia hata hao kenge wanaweza achiwa tu mala ohh tumewahurumia kwani ajira nyingi zitapotea!!kumbe waliomkusudia wamemkosa!!kwani si unaona kina lemutuz na milaadayo wo walipata zamani !!! Na sasa wanahasira sana na jf kwani hawakutegemea kitu kama hicho!!sisi hata ingehamia pakistani tupo tu na jf yetu
hao walikuwa wakiitafuta jf
mku nakusalimu kutoka kule jf ya zaman nakumbuka tulikuwa tunajadili thread yako ile ya kuhusu fursa nchi za ngambo
Usij
usijali hapa pia tupo great thinkers
Igizo lao liliilenga jf yaan utawala wa jiwe kwakweli unachekesha
Huwa ninafarijika sana nikiwaona ndugu zangu wa JF huku.