[MEDIA=twitter]1631987546811949057[/MEDIA]
:D:D
Karatina is not a reputable university and applied statistics is not a serious degree. Degree sii ya kutafuta kazi so wakili ako tuu sawa. Jamaa should be thinking of how to scale his business na sio kwenda kuwa slave. Huyo jamaa wa mayai ako mbele ya wasee wengi sana wako employed. Halipi ushuru ya PAYE which takes close to 30% of your sweat na yeye ndio CEO so anaweza amua afunge job saa saba aende aone game ama achape job 24 hours. Why would he want to trade positions?
I will pursue a Ph.D in Biostatistics preferably in Germany
:D:D:D:D:D:D:Duwesmakende ako kazi pole pole bila kusumbua[ATTACH=full]498769[/ATTACH]
What matters is not the speed but the direction. Tafakari