Alinichukulia OB 2

… Thats how I became a wanted man. I was to be arrested later.

Mtaani hakukuwangi na siri. The minute the big weave woman was given the OB number,news spread mtaani ati nimechukuliwa OB. Obviously nikaja nikapata habari. Funny how I did not do a disappearing act and head to the town that is reputed to host the biggest open air market in Africa to hide. I had a life to live. And I was going to live it in Mombasa. Lolote liwe.
Inevitably,cops came looking for me and fate seemed to be on my side. Every time nilikuwa naingia base naambiwa makarao wamekuwa hapa wanakutafuta. At one time,I actually shared a table in a drinking den with the cops unknowingly. I was later told that they asked about me just after I had left. Waakambiwa ndo huyo mlikuwa na yeye kwa hiyo meza.
So when I learnt that nilikuwa wanted I went looking for advice on what to do. Gish my friend was working with the judiciary told me that a warrant of that kind was easy kuruka. Akanipa mistari. Mtaani pia nikapatana na wajanja wa mtaa wakanierevusha.
Big weave woman really wanted niekwe ndani. So she had spies all over and one day niliona tu makarao wametokea. Ghafla bin huu nikawa katika mikono mirefu ya serikali. Kapelekwa Makupa na kuwa booked. Following day,big weave akafika na nikapelekwa kwa OIC crime. Kuingia na kuambiwa niketi kwa floor. OIC akaingia. A woman. Akaniuliza kijana nini imekuleta hapa. ‘Madam nimeshikwa kwa sababu ya mapenzi’. Akauliza ati…niakamshow ni ukweli. Akacheka na akauliza mlalamisha yuko. Big weave woman akaitwa.

Sasa case ikaanza. Big weave woman akaulizwa ilikuwa aje. Akaeleza ati nilimtusi tukiwa kwa mat na nikasema ati ana ukedi.
Time yangu ya kujitetea kufika nikarudia ile statement. Nikadai nimeshikwa kwa sababu ya mapenzi. Nikaeleza vile big weave alikuwa ananitaka lakini mi sikuwa namfeel. I claimed that hata case kama hiyo si ya kuletwa kwa polisi,ni kesi ya kutatuliwa na wasee wa mtaa. And I denied katakata kuwa nilimesema ati ako na ukedi. In actual fact I had not said ana ukedi.
OIC akauliza tunaishi wapi. Nikamshow tunaishi Across The Creek. Nikamshow vile big weave woman na mimi are practically majirani. Naishi hii block na yeye anaishi in a block a few hundred meters or so away. Big weave woman kuulizwa kama ni kweli akasema ati ananionanga mtaani. Lakini akasema hiyo story ya kunitaka siyo ukweli.
At that point OIC akasema there was no issue. Akadirect tuende kwa wazee wa mtaa tukasuluhishe hiyo mambo.
Nikarudishwa kwa cell. Of course they were not going to let me go just like that. Tenga ikachange hands na nikawa released.

Later on mtaani nikakutana na big weave woman thru emissaries na kama kawa nikadai pole sana for the hustle nilimput through. I offered to buy a drink for all for their troubles. Hivo hivo mi na big weave tukawa friends. And I got to eat a single slice later,much much later. Just once.

Kabebi no longer spots big weaves. She does locks these days.

12 Likes

Tuhurumie sasa na tumwambie ‘nice hekaya man!’

Hehehee…

iko chonja na ukamalizia na kupata slice.

you say “alinichukulia OB 2”

[ATTACH=full]40438[/ATTACH]

2 Likes

Exactly…

wewe wacha mcheso … umewai lala ndani … hehe

All’s well that ends well.

1 Like

on point, and a twist in the tale…

1 Like

Anaishi wapi…asking for a friend.

Nimeshawahi lala ndani na PIA NIKALALA NDANI

1 Like

hapa there are two definition which i like …

Hehehe ati in mapenzi nkt

1 Like

Wewe pure breed mungikiress,in mapenzi nani amesema?

Mistari muhimu.

He he he you know what I meant. Vile uligeuza story sio fair

Unajua ile song ya Kool and The Gang inaitwa ‘When The Going Tough The Tough Get Going’?

The tough got going…

1 Like

:D:D:D:D:D

Billy Oceans.

BILLY OCEAN . umelewa daktari