Mtoto ni baraka, mtoto huja na sahani yake lakini hapa…jamaa amekataa. Kumeharibika.
https://x.com/city_digest/status/1882380465174385099?t=j5UC3hHrJ_k_HZx13-ox9w&s=19
Mtoto ni baraka, mtoto huja na sahani yake lakini hapa…jamaa amekataa. Kumeharibika.
https://x.com/city_digest/status/1882380465174385099?t=j5UC3hHrJ_k_HZx13-ox9w&s=19
A chukue mtoi aende DNA test
@Bingwa_Scrotum kuja uchukue mtoto wako bana, alaa!
Atoe wapi pesa ya DNA…na amevaa slippers. Alirushiwa ngori. Kukulana bila cd ni risky sana. Sasa Kodiaga anapalekea mamake ushago, kuongeza mashida juu ya mashida
Kodiaga is a True alpha male
…ukimwaga ndani, ukiskia fiti matokeo ni hayo.
Kwani Leo Samaj Patel Vishnu hajapea wewe overtime.
Hio chokora inakaa muuza mcea @GituK7 itatoa pesa ya DNA wapi ?
The lady is not Arab. Shit is even scripted
Poor Kid
Katoto kameanza kulia ,mashida zimemwanzia mapema sana
Kakona wazazi wa ajabu, walikuwa tu raha zao
Huyo jamaa aliona buibui akarukwa na akili ,Niko sure alibragia watu baze vile amekula buibui . Lakini hata Dem mwenyewe si waria ama mwarabu anakaa mnubi wa Kibra .Mi kama ni kukula Muislamu ni either akuwe waria au mwarabu Hawa wengine zii
Alivuliwa buibui banae hio nka kuvuliwa keremba na mukorino