AliExpress Dispute

Wadau kuna simu nimeimport I13 knock off us Steve Jobs hehe what was advertised is not what was in the package after kuchambua Mali. Android ni 11 but certain apps from the Playstore can’t be installed inaleta maneno na “Can’t be supported” should I file a dispute nirudishie mchinku Mali yake na hapo kwa methods ni select Return & Refund ama Refund solo. Sande sana

:- Naona mchinku ametoa izo phone kwa catalogue yake

Once you accept the parcel, inatolewa Kwa system. So getting a refund ni noma. But it won’t hurt to try

I13 with android 11.

:D:D:D:D:D:D Jamaa akubali ameoshwa akang’ara.

I think ni Android 4.0.4 with an extensively modified UI. Tenje zote nimepata maclones, whether high copy ama premium copy zinatumia hiyo version. Ni hardware tu difference.

Not Iphone, specs zilikuwa ivi nikaona nimeangukia kumbe nimeangukiwa

Hapo ndio naona niligongwa ju iyo simu was nowhere near what was on the poster kumaanisha pia hii clone ya S22 iko na maneno
https://www.aliexpress.com/item/1005005025051417.html?spm=a2g0o.detail.1000060.1.6af21f7eInjI11&gps-id=pcDetailBottomMoreThisSeller&scm=1007.13339.291025.0&scm_id=1007.13339.291025.0&scm-url=1007.13339.291025.0&pvid=f681d110-6b46-40b2-b46a-2dfff4370c3f&_t=gps-id:pcDetailBottomMoreThisSeller,scm-url:1007.13339.291025.0,pvid:f681d110-6b46-40b2-b46a-2dfff4370c3f,tpp_buckets:668%232846%238109%231935&pdp_ext_f={"sku_id"%3A"12000031408929041"%2C"sceneId"%3A"3339"}&pdp_npi=2%40dis!KES!11933.0!11933.0!!!!!%402101d1ac16726464169482380e3219!12000031408929041!rec
[ATTACH=full]488256[/ATTACH]
[ATTACH=full]488258[/ATTACH][ATTACH=full]488259[/ATTACH][ATTACH=full]488260[/ATTACH]
https://www.aliexpress.com/item/1005005083008473.html?spm=a2g0o.productlist.main.9.65b25d76PB0Q88&algo_pvid=8be9ff88-e4ee-4eab-b413-21c2bac9533d&aem_p4p_detail=20230102000001546110939614890022467037&algo_exp_id=8be9ff88-e4ee-4eab-b413-21c2bac9533d-4&pdp_ext_f={"sku_id"%3A"12000031660174832"}&pdp_npi=2%40dis!KES!9912.0!9912.0!!!!!%40211be17616726464010213604d0733!12000031660174832!sea&curPageLogUid=oUQD50U5RyXF&ad_pvid=20230102000001546110939614890022467037_1&ad_pvid=20230102000001546110939614890022467037_1

Nimeweka links mzichambue

AliExpress simu origi ni refurbished. Tena copy hazinanga brand name. Simu inaitwa S22 ama i13 ama V20.
Wasee walikuwa wanazileta najua tutasumbuana juu lazima niwashow tenje si hiyo yenye wanadhani.

:D:D Simu yenywe ilikuwa mikosi hata nishasanywa na sijaka nayo wiki mbili

Hapa ndio beef yangu na AliExpress hua iko! Their systems are set in a way that convinces me that they are in collusion with Chinese scammers. AliExpress will send you suggestions of bogus techs like these a million times. Ukikosea uclick hizo links zao kidogo tu hivi washakunasa!!
Na hizo ndio takataka utakua ukikutana nazo anytime you enter into the app.