Alibaba: 2Good2BTru¿

[ATTACH=full]337880[/ATTACH]
While I’ve purchased numerous things from Ali Express, have never tried Ali Baba but curiosity got the better part of me and started scrolling through. They have very “juicy” deals and can chat with the seller to buy just one unit.
Haya, nimeamua to test the waters by ordering the above speaker, nione kama ni pesa itakunywa maji, if I’ll receive makaratasi, if I’ll get a refund through Ali baba protection system or I might just get a deal of the year by getting a real Harman Kardon BT speaker.
Anyone ever bought from Ali Baba and what was your experience?

Meanwhile huyu Olive Burrows si ananimaliza bana, hata nakataa news channel to be changed.

[ATTACH=full]337881[/ATTACH]
James May, nimekusalimia.

If you order from Aliexpress, you will get what you ordered (unless it is considered contraband, eg you cannot import something like a Li battery). If you do not get what you ordered and activate protection, you will get your money back. It may take up to 4 weeks sometimes, but you will get your money back.

James ni Digi

Alibaba has Trade Assurance

Mimi Alibaba this year nimecheza kiupele nikabroke 180k. Kuna mbulgaria tuna sumbuana na yeye. Anachukua TT Mimi namwambia kuhusu PayPal amekataa. Hio gitango anasumbua Sana. Lakini ako na Mali Safi. Na mwambia atumie London nitumie woria ndio nisilipe Kodi. Yeye ana insist atume Nairobi direct.

London ama Dubai. At UK you goods should still be subject to customs duty on their tarrif I suppose

Natumia woria. Wewe ukijipeleka custom utaitana mdau. Hio tax utanyososhwa utalia.

Woria gani chief? Anaingiza za alibaba? What quantity? Mimi nataka single items but yuuuge ones.

[ATTACH=full]337956[/ATTACH]

Sasa,unamaanisha ninunue ngotha shaina,iende hadi uk then ikuje vumbistan? Number,ofisi ya nairobi? Ama wewe uko middlesex?

Use Afrisali wako isli. Pia hao wanatoa msigo chinku. That was for Europe .

Wacha niwavutie niskie. Thanks man

Ukiwa free tembea isli kuna company mingi za logistics.
Kuna sahan,rolling cargo,golden gate you will get good rates.

Always tumia PayPal. Mtu alikushw ulipe outside that then ni straight up scam. Na TT in full ni nini elder wacha kutupea pressure

[ATTACH=full]337989[/ATTACH]

Could it be hizi speaker zinauzwa 30K actually cost 665? Wanakula 29,400 KeS kama profit?

ama ni Herman kardon?
ama ni factory rejects?
ama ni used and salvaged?
ama ni stolen from factory?

too many questions

Maze nimeshangaa sana.Hio profit ni obscene.Nilikua bash flani Langata Onyonka estate.Ngoma ilikua inachezwa kwa hio speaker.Ile base ilikua ina toa ilikua mambo mbayaa mpaka neighbours wakadai wataita karao.Baadae went shopping around niliulizabei hio speaker around nikaambiwa 35k bana wee.

Minimum order 50 units?