Hapo mwanzo nilikua sina mazoea na huyu dada alikua anapenda kuniangalia na mimi nilikua namignore kitndo kilichopelekea aanze kuniogopa yani akiniona napita lazima asimame anipishe na sikujua sababu za msingi za yeye kufanya hivyo na sikutaka kumuuliza kwa kua sikutaka mazoea naye
Sasa baada ya mda mchache baadae mpaka hivi sasa na mama yake naye ameanza kama na yeye ananihofia yani anakwepesha kwepesha macho akiniona
Nashidwa kuelewa kwa kweli
Naomba ushauri kwa hili
Hahahahahah me sijui mkuu
Naona pia ukaamua kunijumuisha kwa hao ndugu zako wa shule
Sasa kwa haya maelezo yako unamaanisha nimeweka huu uzi ili mniambie napendwa
Sasa mbona mkuu umefika mbali me sina maana hiyo aisee
Kutoa suala hilo pia kuna mambo mengi tu huwa yapo kwa design hiyo mkuu