Leo pahali Salome aka Kalonzo na Wavinya Ndeti watajua aliyejuu mgoje amwage, seems Alfred Mutua will be making an important revelation today @7 pm.Let the game begin…
The amount of back stabbing and betrayals going on in Ukambani right now would make a good book. Opposition civil war is at full swing.
Tomorrow it gets even better since UhuRuto bring the Jubilee wave to Kitui County.
Labda ni porojo tu. Mutua anajua ku hype sana
Huyu jamaa alinipromise ice-cream tukiwa primo lakini hakuwahi nibaiya. Nikimuona hiyo ndio kitu ya kwanza huwa nakumbuka.
Upuus
I doubt he is going to say anything new.
saw kasee.twivamwe.kalonzo apeleke nyee hukooooooooooooooooooooo
Same here
Watu wa machakos county wanasemaje kuhusu huyu mjamaa
Watamrudisha ama?
@culture niaje…tena umeruka kalonzo
kwa niaba yangu nitampea kura yangu.he has done alot.lakini washenzi wengine wanavote na chama badala ya maendeleo.nini wavinya amefanya na alikuwa mp wa kathiiani.stupid people going for party politics
i have never supported kalonzo.what has he done 28 years kwa serikali.
Good stuff man
Inakaa hupendi politics za kuambiwa ‘mvulimivu ni mbivu’
I saw somewhere you said you are Nasa damu.saizi atafanya kitu kweli
hio nilicomment kwa post ya @uwesmake .but let me tel u bro.i cannot vote either nasa or jubelee.infact i wil vote only for mutua if the law allows.if not i will not vote at all.nitaenda kukamua momo kwa man cave hio day
Sawa
you dont have to follow the crowd my fren.we all have personalities.mimi siwezi bebewa akili ati coz mimi ni mkamba na kalonzo ametuambia tuwafuate nasa kama kondoo .nooooooooooooooo
Hapo sawa
Mutua ako na agenda ya development and he’s well educated
gota kaka.sio ati yaliyo dwele sipite
Hapo ndio upuzy yako inaonekana…you are not nasa or Jubilee and yet kazi yako niku boast vile nasa iko juu