Alfajiri SACCO

Goodmorning?.Watu wa-mark register.
Na kama hutambui Alfajiri SACCO pia sisi hatukutambui.

Thought of the day. Move around in circles greater than yours to discover what opportunities there are for you.

1 Like

Leo ati ni mimi naonekana asubui, [SIZE=1]mama [/SIZE][SIZE=5]saitani ashindwe. [/SIZE][SIZE=4]Wacha nirudi kwa kitanda nitatoka saa ile peasant wote washakimbia kwa ofisi wameniwachia bara bara[/SIZE]

4 Likes

Afro and jazz good morning

2 Likes

Shikamooni nduguzanguni.
Ijumaa karim

1 Like

Usingizi nimekosa na Leo nimeamka kwa ajili yenyu . Kweli tabia haina dawa.
kwa hivyo nita waandikia barua safi kutoka kwa moyo wangu.

4 Likes

Morning

Morning. Brexit results. Leave 52%. Remain 48%. Sterling Pound falls more than 3% against the dollar in just minutes. Interesting times we are living in

Na hapa kwetu. Ama bado ni 140?

Wah! The currency markets are punishing the pound . It’s now at its lowest level against the US$ since 1985

1 Like

@uncle nyam mmeona hio quote ya Afro na Njeri Booty anyway morning

Ngoja soko ifunguliwe London. It will be a bloodbath.

1 Like

Morning guys and gals,especially gals. Habari ‘makufuli’

wajenga kenya hamjambo. watakaobugia kinywaji jioni mkunywe in moderashen…tutawahitaji kesho…

1 Like

According to CBK website, yesterday the pound closed at 149 against the shilling. Right now the pound is 136 based on the world markets.

Good morning, Good day

You know it’s cold when even after meeting the threshold the cold comes back after only minutes.

1 Like

Choices have consequences.

1 Like

We want it at 120.Hope it gets there and stays there.

Never thought the Brits were this selfish.

:smiley:

1 Like