Alfajiri Sacco

Morning, sucks to be back in the capiroo lakini unga lazima utafutwe. Mark register. Todays leading word comes from Psalms 143:8 “Let the morning bring me word of your
unfailing love, for I have put my trust in
you. Show me the way I should go, for to
you I entrust my life” Na thread yangu isikojolewe na hizo vita.

Good morning? mmbarikiwe na mvua.

mungu atuonekanie…

1 Like

Hii mvua mnasema iko wapi. Could do with some.

Morning, ata mimi nataka hio mvua

Morning,mvua ilikuwa kwa ndotondoto,mpaka gwata Francis aseme. Good day villagers

1 Like

Morning

Vipi Msela. Jana jamaa alikuwa mombasa road akielekea pande za machakos. Akakosea bara bara akaingia ile ya JKIA. iyo bara bara huwa one way. So ikabidi apitie pale kwa security checks ili aweze piga roundabout na kurudi njia inayostahili. Jamaa wa NYS kufungua boot la gari yake ili alipigwa na butwaa. Mle ndani mlikuwa mzoga la mwanaume.

:eek::eek:
Balaa

Really, what happened next?

Good morning. Leo Superhighway ni nyweeeeeee

2 Likes

Sasa hapo sijui.

1 Like

Oh Lord!

It rained in Kabete last evening…

1 Like

Morning raia

good morning villagers

halafu!?

@Meria Mata wananchi wako curious to know what happened next

1 Like

tumesema mara kwa mara heka nusu nusu nikama kutolewa…kwa matatu na hujafika kwenu:)
:):):):):):):slight_smile:

Good Morning everyone, have a good day