Alfajiri Sacco

Good morning wadau amukeni mkajenge taifa. Mimi nimekesha hapa Burma market kwa Lorry usiku mzima nimewaletea nyama. Baridi imenichapa kaa burukenge banae. Hii Nairobi sijui munaishi aje watu wangu. Ndo na shukisha mimi sasa shift yangu imeisha … done my part of National building. Watu warauke shift yenu ndo inaanza… wale wameoa …[SIZE=1]ondokea matako ya kapipi.[/SIZE]
Peace out.

Watu waamke tutafutie Omosh pesa ya chakula na rent. Peace wadau.

wacha matusi asubuhi brary nugu

:

Kumbe wewe ndio Omosh?