Alfajiri Sacco

Mbona nisiombe kwa fujo

Hi lost one.

:D:D:D:D
I hope uko sawa Lakini.

1 Like

Hi dear, I missed you. Can I slide in the DM?

Omba kwa fuji mse and all the best.

1 Like

Niko fiti kabisa

Ama umeweka kifuli while I was away?

Hehehe ni pipi wa mtu. Owessweka kifuli. Me nah want die.

1 Like

Nitaomba tu. :slight_smile:

Yaani unarudi tu na dry spell hapa?
:D:D
Inbox yangu ishawekwa kufuli na funguo ziko kwa mfuko ya mwenyewe.

1 Like

No no no. Nitavunja hiyo mlango na crowbar. :mad: