Raukeni its Monday nchi ijengwe na wananchi have a good week
Poa, glad to see another day.
Morning talkers,apan tambua TGIM, lakini blessed week ahead
Asante Mola kwa siku ya leo…wabariki wanakijiji wawe na siku njema pia…
Mimi sasa Niko jiani kuelekea kazini blessed week wanakijiji…
[ATTACH=full]63965[/ATTACH]
Good morning wazito
Morning. Jam along superhighway start at Roysambu, hapa ni car park !
Good day all
Today will be the most productive monday of this month will compare notes later
a beautiful week…