Alcohol tycoon Humfrey Kariuki given big govt job - sasa amwagie vijana phombe sawasawa

Tugege kwisha.

[MEDIA=twitter]1598670407858618368[/MEDIA]

Businessman my foot. Mwizi sugu. Bure kabisa. Ngombe ici

Perhaps these thieves have an entrepreneurial streak which we badly need

Kwani mnadhani campaign money ilitoka kwa mfuko ya RUTO ONLY?

CAMPAIGN FINANCIERS MUST RECOOP THEIR MONEY BE IT THROUGH JOBS, DEALS, TENDERS, APPOINTMENTS ETC

Thanks jebus hio cheo haikupewa kipmeno ama mngechizi mara mbili ya hii mko nayo:D:D:D

Alikutombea bibi??

When you have a new Bombardier Challenger 350 a lot of doors will open because international private travel is the only costly thing even to politicians. Ongeza his campaign contributions to hustler.

The guy probably needed a diplomatic passport.

Lakini surely who is supposed to be given these political jobs, ama lazima ikuwe ni O’somebody. Matafakas.

[ATTACH=full]482368[/ATTACH]

https://pbs.twimg.com/media/CbB4VXTXEAEChHy?format=jpg&name=small

Wacha kuwa shallow. Nobody will open doors for you just because you have a private jet. Politicians wako na pesa ya taxpayer hawahitaji kusaidiwa na ndege kutravel.

Kariuki amekuwa able kuingia mahali popote tangu kitambo, na wenye hawataki aingie iliwacost resources mingi sana kumzuia, tangu kitambo. sio eti ndege ndio imefanya awe appointment. Amekuwa huko juu tangu kitambo

huyu mututho ndiye alifanya walete hizi pombe fake zinaonja surgical spirit. Kitambo hizi zote ziko kwa meza zilikuwa safi sana. kwanza zile za plastic na zile za glass za shape ya bond 7. Sahii hata ununue gani ni fake unless uende kwa distributer mkubwa. unakunywa badala kulewa unachizi

Kariuki alianza 80s. Alikua na matatus then he grew from there. Around 90s. Alifungua GreenCorner restaurant pale Nairobi Cinema.

Alikua na connections and business sense tangu hizo times

kitu huyu jamaa ya pilsner amesahau ni kwamba huyu jamaa sio mwanasiasa ati anategemea wananchi wamchague. Mahali amefika ni ujanja yake sio ile ukora ya kdanganya watu ya wanasiasa

Jagathi alisema he’s a good men, a honourable men

Nashuku he funded UDA campaigns

[MEDIA=twitter]616292913551687680[/MEDIA]

Deni lazima ilipwe.

Niaje…GMO anaendelea aje?