Sasa juu alcoblow use has been suspended, Ulevi Sacco mnasema namna gani? Tuko pamoja!
when was that? hiyo ilinipita
My husband is Alcoblow enough… can he be suspended as well? Can a woman not go out for drinks bila drama ka yote?
you mean go out and leave your man alone in the house? I wouldn’t accept that too
Si kila saa… kunisumbua tu though he’s the one who drinks more.
or you can go out together. so ukiingia kwa hao kama umechelewa unaambiwa “pulizia mimi kwa mapua”
@Ice_Cube ebu kuja na hizo ice pubes na a shoulder to cry on…
Tuonane Reminisce Bar and toast to this ruling.
Anatakanga kufanya uchokora ka siko… story ya kuenda out pamoja ilidie after tuget married
Wewe ni version ya mtu mwingine tunaita @Ebonycurves alikuwa mashida shida tu
so ka out ivi nani anakupelekanga?
I love my husband… ata akinibo hivo…
Friends from work…
so when you guys get tipsy, your workmates get touchy on each other ama you outsource?:rolleyes::rolleyes:
Wasn’t the illegality an opinion of the judge?
Mimi siwes katazwa na mtu. Kwanza ananipeleka na kunichukua baadaye.
Ata wangu napenda sana
wuehhh, Bingwa female version wanatokelezea.
Hii lugha ya @Jill ni ya chokosh tu na tunajua tu ni nani
As much as I detest the ruling, it is a matter of interpretation of the existing traffic act in relation to the constitution.