Albert Chalamila awasili Kariokoo, Awasihi Wafanyabiashara wasitishe mgomo

Mgomo unaendelea Kariokoo tangu asubuhi. Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila yuko mbioni akiwasihi wafanyabiashara wafungue biashara zao.