Alaine

Vile huyu mlebo anashinda amekuja Kenya, si apewe ID?! Ama ni import ya mtu? Kwanza mpaka alikuja kutafuta Wafula, si angeelekezwa Ktalk anipate
[SIZE=1]Ktalk CSI saidia, hii maumivu naskia ipungue[/SIZE]

1 Like

umbwa wewe

Makwapa ya mende wewe

1 Like

Huyo ni mimi na alaine, alafu nikimaliza niendee Denyque

nini mbaya Buda?

what you mean nigga???

boss mlebo ni nini? mimi najua tu Malebo ule wa wimbo ya Munish

4 Likes

Rudi ocha msee, hizo ni ngoma gani unaskiza?

Mlebo ni vile mtu wa central anaeza ita kidosho aliye na maumbile ya kupendeza

4 Likes

Morgan pia wapewe IDs, wameshinda huku. Its good for Music business, courtesy of wyre na G Money. FYI, alaine ni wife wa DonCorleone, kwa watu mnajua Riddims you know the name. Acha niskize ‘nadandia Kama mathree, siishangi Kama bundles’

Morgan wanaishi kenya msanii inakaaa uko nyuma

dry fry material nimekufia huyo dem

1 Like

Morgan si waliambia uhunye wanataka passport na watarudi kuishi kenya.

Kumbe ameolewa, mwanaume ni kuslice

Hao walisema watarudi permanent