Alain Koukou

We need a thread to discuss Congo. Hii nchi ilibarikiwa. No wonder the white man was so jealous.

2 Likes

Ile kitu hunijazz kwa hii ngoma zao ni guitar. Hapo some of those artistes are wild talents mpaka mzungu huadmire kwa mbali ju anajua hawezani.

1 Like

Alafu Kounkou huwa from Congo Brazza, sio DRC.

1 Like

Guitarists walikuwa from a different planet. Kina dally kimoko and others. Alafu sasa sema ma dancers unaosha macho taratibu ukizienda. Madem wanazungusha hio kiuno ajab. Kuna ngoma fulani huwa ni me fall na tudem fulani hapo ivo though sahi najua ni tunyanye. Ngoma ni ya 1988 banae

2 Likes

Mimi ni hapo ndio nimefika. Congo music tukisonga. My recent and present anthems:
Pepe Kale na Madilu

Hapa climax inaflow taratibu…Dally Kimoko

Rigo star na Dally Kimoko walitwanga gita sawasawa. Madi mawee mario….

Halafu Nyboma has been on the vocals for most of the songs.

1 Like

Safsana.

Congolese music of the 70s-90s should be declared the seventh wonder of the world. Whatever those guys were doing was exemplary. The likes of TPOK Jazz, Afrisa International, Zaiko Langa Langa, Soukous stars, Verkyss, Koffi etc were amazing. Nowadays Congolese music has deteriorated

3 Likes