Aladwa

ati aladwa alisema lazima watu wakufe ndio raila awe rais?he is very funny,hiyo vita itapiganiwa kisumu

He was misquoted by the media, our community is being targeted…

2 Likes

His name has been forwarded to NCIC but as usual politicians get to walk scot-free, the Alan Wadis ndio huona cha mtema kuni.

1 Like

Naonanga as if such conversations ndio -husababisha post election violence na civil wars… it usually starts with a series of chronical events then it all burst like a bubble. Or maybe i’m just bein paranoid. Time will tell.

watu wengine wako kama warthog tu hivyo…very short memories…

1 Like

i can assure you hiyo vita itapiganiwa kisumu ,2007 ilikuwa kionjo.that is why i hate with passion those kikuyus who are raila apologists

He might have just given us a warning… If Rao loses again in 2017, his cronies have every reason to go to the streets. For the sake of peace, Raila should just forfeit the 2017 presidential race

If ICC doesn’t jail anyone, and Kenya pulls out of the Rome statute, then 2007 will look like a rehearsal.

Mjaluo alipiga nani? Ingekuwa Ni Moses Kuria ama Alfred Keter ninge sms Tobiko. Lakini lakeside brothers?

2 Likes

play with fire and you will get burnt

Alikuwa ametulia akawashwa na mdomo. Sasa mwasho umepungua.

Our man is being targeted that’s what we will here sooner than later

Let a man vent. We have everything covered.

Tumia ngeli ya “ni” na sio “tu” priss. Mfano kwa sentesi: Nilikuwa Kibera.

Wewe na nani? ulikuwa umevaa shirt colour gani hiyo siku? Ulikuwa na panga ama na kisu? sirry!!Bet you were huko muchatha kwenu safe from all that scenario.

Idiot…

…Be cause he will lose

What happened to Kethi Kilonzo after being charged with stealing ballot papers? Was there any judgement or what happened to the cash?

Watu kama wako na akili kama za kina wakanyama na aladwa lazima watoe vichwa vyao ndani ya mikundu yao, ilimradi waweze kufikiria. Bila hiyo wakenya tutachapana ndio tujue kwamba; kwa vita hamna mshindi. Na lazima tuheshimiane bila kubagua kabila ndio hii nchi itasonga mbele.

2 Likes

nyumbani ni dagoretti south kule ule msaliti alisema wenyeji walikuwa wanapanga jama ya kuinvade na kuannihilate kibera to ashes