Someone bring me up to speed kwani kwaendaje?watu wanashushwa madaraka tena?last
i was here i was an elder sa nimekua senior villager…araa!
What the…?!!
lazima uwe na 100 points to be an elder
Angalia thread yangu ,lazima threshold ya ktalk mufikishe,lakini ukileta hekaya utapata likes by Monday ukae kwa meza ya wazee tena.
ni hekaya uliacha kueka
Hehehehe pole kaka bratha. kuteseka ni kwa muda.
Vijana wamekua waki kula kwa meza ya wazee
mateso gani? please explain in depth!