naah! I had enough likes to be elder as WAS required ni vile likes za elderville zimepandiswoo… kila kitu kwenda juu kwa hii Chupilee ata likes sasa zimepanda…
1 Like
Alaa. Hata mimi naona nimeshukishwa cheo. Kwani huku hakukuwangi na notice?:mad:
1 Like
hehehe tuko wengi but haisuru…sio biggie
1 Like
Hehe. Si watoe hizo title mtu akae bila. Ni kama kuwekwa jina kwa letterhead ya kampuni eti wewe ni director na hata share moja hauna
1 Like
kushukishwa ni nini ?
Kushushwa ango. Tulia hangover ikuondokee kwanza.
1 Like
Daktari nimeangalia kamusi hio word hakuna ?