Someone bring me up to speed kwani watu wanashushwa madaraka tena?last i was here i was an elder sa nimekua senior villager…araa!
:D:D testing…
…ama title ime donate-iwa vile kama ile donation ya shell ya matatu
Tebu tulia. Don’t speak loudly. Tomorrow you may wake up a villager like me. Next month tukwambie uketi mahali. By October uambiwe tokaaa
Wondering sana isorait wacha nisome posts nione what i missed.
sawaz wacha niwe mpole…but online Tittles don’t mean that much…the company here is awesome ata nikiwa villager i still love this place
Hapa ndio ile place msee huita “chill spot” kama ile ya mtaa…una come kutoa stress na pressure ya siku…ku cool down tu…This village is one of a kind…
Exactly!
Very true…better than social media kama FB…
Keti pale------------------------>
hahaha iam a senior bwana! Kua mpole…
Sawa. Keti karibu Na pale…>
Isorait!
Bwana maslices ongeza hekaya urudi kwa watu wa heshima huku juu bana. Wewe unafaa upewe free pass!
hehehe i will soon…Thank you
Enyewe hekaya za Slices zinastahili Village Mhenga
Now we are talking.hapo sawa
kwanini hii thread umeweka kwa sex & relationships? Waona? Hii nd’o sababu mojawapo ya kushushwa madaraka. Kutoelewa.
I was busy perusing threads up in here nikastukia nimepost.mimi ni newbie so utaelewa tu, by the time i realised comments zilikua zimekwoum..can admin move this to general priss..naona hakuna complains category hehehe,nisamehe. Madaraka ilikua isha ponyoks anyway nikipost.
Maybe wamegundua wewe ni newbie wakakushukisha cheo