It’s very smart
Wacha ijue kuunda nuclear.
Kuwa na dem (Samantha) AI in my lifetime, is almost right up there with an alien encounter … in my list.
Sijui ni Google ama what silicone valley corp ilichuja jamaa job juu ya kuwaambia AI imeanza ku-develop feelings.:D:D:D:D:D
Inaweza kuwa Brin alikuwa na machungu akageuzia AI engineer?:D:D:D:D