Anasumbuliwa na vitu mbili
- makanza
- Mbuvo
Anasumbuliwa na vitu mbili
:D:D:D:D:D:Dsijui nilie nikicheka ju ya huyu mkambondia. @vuja de kam kias
Hehehehe, huyo pastor hekaya ina m nice badala askie prayer reuest ya huyo mthama
This is where desperation has taken people.
Isn’t it normal to have those makanza na bubu anywhere?
Haha Huyo mama anakaa makanza imemzoea hadi anatoa hekaya like a pro
Summary priss. Kabla ni download
Dadako amepamiwa na lizards and bats kwa nyomba yake hayamalisa kujenga, anatezeka tzana
Vile napenda Wakamba aki huyu mama si mbaya sana. Aje nimpatie 50K amalize nyumba tuishi…
Mbubu na makanza ndio nini sasa?
@GUKA, tafadhali saidia huyo mama!
Atampatia hiyo 50k alafu after two months akuje hapa kulia lia ati tena anaitishwa school fees na ata coomer hajapewa.
Huyo Prophet anajifurahisha tu na masaibu ya mama, halafu wakati wa sadaka ni mama atampatia ka-fifty kake ka mwisho. Sad.
Sasa, wewe na yeye nani maskini?
makanza na mbuvuu ya mbuluu na olenj
Utahamia Kitui?
@Chloe @kingolonde Euphoria ni place wazimu, wah. The groupies made this night awezome. Demakufu lazima akuje huku.