Akina Mwigulu nao wamehamia KenyaTalk?

H

Hebu fikiria majukwaa kama Sports and Entertainment, Hivi huyu Jiwe alikuwa anaathirika vipi sisi tukizungumzia muziki wa old is gold?Alaaniwe

JF ni ulevi na burudani. Na kwa sababu walishakuwa addicted, watakuja tu.

Mwigulu alikuwa verified user,Shonza pia

Mwigulu anaweza kuwa na id nyingine aiseee akina Lizaboni

Simiyu yetu,Jingalao,Lizaboni,hawa watu watakuja kimya kimya