where art thou my bae @Akeelah
TBT
http://www.kenyatalk.com/index.php?attachments/waka-jpg.19822/
http://www.kenyatalk.com/index.php?threads/if-dj-creme-was-wakanyama-na-uyo-demu-akeelah.11825/
@Akeelah wachana na general Kiguoya akipigwa mstari huku anaweza hata kukuuza kwa admean ikue reversed
hii ni kumalizwa…na vile jamaa amejifanya Romeo…
tutapatana kwa thread ingine hapa lazime ninyenyekee
:D:D:D
@Akeelah haongeangi. She is the female version of a peeping Tom. Na ukiona @Wakanyama akija hapa in public it means hata kwa inbox hakuna response
na wengine wanatetea mashemale hapa,CHECKI MANENO[ATTACH=full]51420[/ATTACH]
Hehehe…
ZII… :D:D
Ankol apewo kenye ameitisha!!! :D:D:D:D
Wanker,hapa huwezi sema hata ng’we. Umeisha
Yaani general mzima pure blood anaitwa general kiguoya? Kweli wakanyama uko humbled
anataka nichome picha lakini namwambia ngo
SHEMEJI WACHA MLUHYA NIKUKAMULIE HUYO MREMBO @Akeelah
HAPO SHEMEJI HAPANA TAFADHALI
Hey hun, Nimekuwa na kazi mingi hii wiki. Tupatane inbox kama kawaida ;)
:D:D:D
whatever guys are smoking nowadays, only God knows
@introvert i pray i never cross you
That wasn’t me. Huyu ni @Dodi…
Him too, but i was waving a white flag in advance because your pencil is also an artillery.