Ajira Youth Centre

Nimefika huku nikapata vijana wako well sorted. Kuuliza mbona hakuna wasee eti wanasema hapa huwa wanashinda tu njaa.

[ATTACH=full]483289[/ATTACH]

Serikali inapenda yut man na watoto sana. Public hospitals all treatment of kids below 5 years ni free even if admitted for several days. Dawa ndio utajinunulia in case hawana which is rare. Dawa za watu wakubwa ndio huwa inaibwa.

Hii iko wapi? Huogopi public wifis?

Hii ni LAN connection

Centre ya wapi, do i carry my own laptop?

Any of the centres countrywide, yes you can bring your own devices