Aiyayaya yaani hawa watu Washatuekea free WIFI in all buses

As u know or didn’t know all buses in Berndora are run by a company named BVG (Google it) …hapa hakuna mathree . Anyway wametuwekea free WIFI. Yaani ule mama Angela Merkel alisema that by 2020 internet ujeru itakuwa free and I thought she was joking. Kila mahali ni free Wifi. Ukishuka bus tuu unaskia kasimu kakikuambia connected to free wifi automatically (no password) inaingia tuu. Sasa bus zimewekwa pia. Tube trains huwa nazo.

Makampuni za kuuza bundles zitaona huzuni.

[ATTACH=full]228005[/ATTACH]
Leo nimekaa top floor ya double decker bus lakini sikutaka kwangu juu chini hakuna sits. In my eyes watu ukaa juu ya double decker buses ni watu wa ocha even wajeru.
[ATTACH=full]228006[/ATTACH]
BTW hio kiatu ni 10K …pesa ya Kenya.

Forward travellers zimekua na wifi tangu kitambo, nothing new

natumia Jkuat wireless na sisumbui!

Sijui kama unanielewa ghasia. All PSV in berndora ziko na free wifi plus many streets. Mnafaa elewa.

Rubber ya 1500 unanua 10k enyewe ni mjinga. Saitan.

Ghasia hii ni kitu origgy sio ile gikosh umezoea

Now this is what we call a “civilized city.” Swafi sana. Jay, usiwai hama Ujeru…oa Yvonne wako na mubaki huko.

:D:D:D… iyo rubber pale lc Waikiki ni 1500
Epuka ufala.

Iyo Ni ngoma Bata Jerry…

@Panyaste wee ungekua mrembo, ungepatanga mimba kila mwaka. kiherehere ndio uko nayo mingi

Exactly, io jina ilikua imenihepa.

Midget superiority complex :D:D:D:D:D:D
Leo nimekaa top floor ya double decker bus lakini sikutaka kwangu juu chini hakuna sits. In my eyes watu ukaa juu ya double decker buses ni watu wa ocha even wajeru.

USA ni capitalist society, haezi ekea watu free wifi
Hii wifi sio kitu ya kusherehekea
Ona jamaa ashafanya experiment 6 years ago

https://www.youtube.com/watch?v=ICA19oKPi5I

Apart from 1st foods(sanford chipos), izo exhaust/moshi fumes ya magari, cellphone towers, EMF radiation…sasa kuna wifi radiation na 5G ako njiani.

Tubaki hapo fibre optics na ethernet connections. Stay Woke

https://www.youtube.com/watch?v=F0NEaPTu9oI

[SIZE=6]Vile utashikwa ukijaribu kushuka Kama haujalipa fare…
[ATTACH=full]228007[/ATTACH][/SIZE]

Niwacheni wakubwa:D:D

@Panyaste wajeru wanashangaa vile we ni mtu wa ocha kupiga picha ovyo ovyo

:D:D…

Punctuation muhimu. “sikutaka kwangu juu chini hakuna sits” kidogo inichizishe, osungu.dll

safi no comment

Distance from the shoe to the camera… with all those other things in the picture … confirmation wewe ni mbilikimo mkora. :D:D:D:D:D:D