Aisha leo ameamua kupimana na Joho. anamwambia atoke kwa makwapa ya Raila Odinga kabla atafte Urais. Kingi akaambiwa yake ata hawataongea :D:D:D.
Soon ii coast will be the laughing stock in politics kama western tu
Huyu handsome ghasia amejipodoa akapata sauti. Bila make-up hukaa warthog ime nyeshewa.
Mzito heshimu incoming gavana 2022.
:D:D:D ati aliambiangwa nini kuhusu kiuno?
Ati makwapa ya nani…
Kingi naye akaambiwa yake ata hawataongea:D:D:D. sema kubebwa ndogo
Aulize Muguna Muguna ako wapi na hizi @KeleleZa Chura
What is this “man” Juma saying? :D:D:D