kwa wale wanateta airtel speeds zao ziko very slow i might have a solution to make it a bit fast…but remember every grown man and woman knows that things of these this world never come free…so an exchange with a code would be good enough…:D:D:D:D:D:D:D
2 Likes
Sasa umesaidiaje?
inbox mimi
Niko na 10bob…i guess thts not free
Biashara kwa vitu za sare?
1 Like
ntume zawadi points nikupe code ya 3gb
:oops::oops::oops:
UKweli
1 Like
and the new speeds will be ?
kama uko na hspa 7.2mbps utaona significant improvement
mi nadai kutoa ile throttling ya unliminet
airtel internet is shitty
unataka zawadi points ngapi
Unauzaje codes
Waeza kunipa ngapi?
sa si we ndio unasema…ushawai enda kwa duka alafu shopkeeper akakuuliza unataka kununua sabuni na ngapi???
ni inbox.
unaincrease aje hizo speeds