Wenye washaifika airport…kuna short time rooms like 1 hour
And how do they charge?
Wanaume kama hawa hunishangaza. Fika grao uone hali acha kujificha ficha
2 Likes
Mwambie wewe ndio the management na ndio kusema uki land pale
Najua wewe ni insider huko..you can help
Fika grao na id mkononi na punch upate room za chawa na kunguni.
Kwani walikuchuja job, ama maraya wa huko mlizoeana sana?
