Situation jana usiku ilikuwa tricky milaya zilikuwa most kushinda wateja.
Nilipita kuangalia gwaride nasikia tu hey handsome si twende, mwingine akaniambia napenda ndevu zako si twende.
Nilikuwa tempted kuenda but enyewe nimesota ilibidi nisimame kama kinuthia niangalie rada.
Hio muda yote niliona kama kastma wawili watatu wakiingia shot.