Hakuna mtu yeyote ako na namba?
Chukua mombasa road alafu utabranch left ukianza kuona ma ndege. Ukifika security gate uliza pahali ma lanye Wako. Wataku direct Kwa terminal utawapata hapo.
4 Likes
Hakuna redpillers huku, watu wanakula mizoga kama vultures walai. Sad.
3 Likes