Hii kampuni si inaringa banae. After Boeing’s issues with the 737 MAX, Airbus became the leading aicraft manufacturer. Qatar Airways complained about surface degradation on its A350s and even went to court about it. Airbus responded by cancelling a separate $6 billion order for fifty A321neo planes. Yaani they know their planes are in such high demand that they can cancel orders when customers raise legitimate safety concerns.
Sasa kama wasito kama Qatar Airways ndio wanaonyeshwa madharau hivi, je tucker tucker kama KQ zenye zina-buy/hire one plane every 10 years? The world needs salvation from this duopoly. Wachinku na Russians walete hizo ndege zao hii madharau ipungue.
Wee nawe umetoa hii habari wapi.Airbus walikataa ku take responsibilities za ile KQ plane ilipata accident,nao KQ wakasema hawatawai nunua ndege kutoka kwao.
Tangu uende senate uko na upuus…huwa naona comments zako na shindwa eishh kumbe akili si nywele
sadly hii kitu will take some lives lost for anyone to take it seriously ama some american airline notices the issue and the FAA takes it up. Boeing walifanya hivo hivo na 737 MAX - trying to blame pilots not from the US for the issues walikua nazo. Boeing only acted after the FAA cracked the whip
The French are always very arrogant. Russia’s MC-21 should hasten and get the European certification. Getting American certification however will be a tall order because of American protectionism.