mwizi yeyote awekwe penye anastahili, either kwa wheel chair ama 6 foot under in that order.
Kenya is headed the South African way mahali dengu ni kama hizi cheap phones trickling into our market
Shida is wanakula nyama while the rest kumeza soup tu
In the south its even worse. Fika Jo’burg upige malap Soweto you will think it’s a ceseded land of its own with its own unique bylaws and shit
The rich and peasants gap is getting bigger that’s why scenarios like these will not cease to be any time soon
Just go to eastlands and see how people live then cross over to Lavi or Othaya. It’s like you have crisscrossed the Atlantic
It’s a bit harsh to blame the current government in as much as I would love to reign on their parade but this problem is here to stay at a kama NYS ingekuwa fruitful
[SIZE=5]You have never been on the wrong side of this “boys” they are quick to kill mimi sina huruma nao, probably the person they were going to rob and kill was also someones father or mother !
Wacha waende karen wa rob akina ruto personally, sio sisi tulikula pesa ya nys ![/SIZE]
I will one day but not just a promise kama zile zako 1001 unfulfilled.
Juzi kuna maboy wawili, both under 23 wamechomwa waiyaki way kidogo past CCK. Both were thieves I hear. Na walichomwa na public. We can discuss the issues afflicting mayout’, how to include them in the economy and when to. While doing that, I highly favor the option that the security forces should continue doing their job, protecting the people and their property from vandals and thieves. All means necessary as detailed in the constitution can be used to ensure law and order, including neutralizing any form of threat to civility. If indeed being from a disadvantaged background is a cause for criminality, wengine wetu tungekua majambazi. I have been robbed once at gunpoint and made to service debts I hadn’t planned for. Siwezi kua na hata chembe ya huruma kwa mwizi. Wachomwe, Wachinjwe, Wakule Ndengu shida yao. To edit a quote, “Only God (Or whatever you pray to) will be the judge. Kazi ya polisi is cater for logistics, transport and everything to the venue of meeting with God”.
kwa ivo ni sawa mwizi ame surrender na ameinua mikono kumangwa na bullets kama fifty?
Chokosh unasumbua
Wamangwe soo za mukundu!! Hao maboy hata uki-surrender uwapatie mali bado hupiga mtu thwau.
The same way walimanga ule msee wa mpesa AFTER wamebeba cash yote na simu za kazi. 50 ni kidogo. Hadi mtutu ianze kumelt.
Sawa wasee yaishe
Good job by the officers keep up
Kuna kazi za mjengo ama hata Hawking ama kupika chapo pale mtaani but these kids decided to use a short cut to wealth… walishwe chuma moto kabisa kwanza naomba gava walete shotguns and they should aim at their heads when killing them
Too bad this government has not created the jobs it promised it would…lakini honestly, what did they expect the end to be when they decided to steal from the common hardworking mwananchi?
Kuna stuff these guys wanaeza fanya instead of kuhangaisha ma hustlers wengine. Kuna small businesses that can work in the hood bora mtu aangalie hood yake ni nini inaeza tembea sana.
- Chapo mtaani
- Chips Mwitu
- Kuuza maji
- Kahawa ya Bunge la wananchi
- Mitumba
- Kufua
- wooden floor sanding / plumbing / gardening / repairs and maintenance kwa masonko (na venye hood kama zote ziko adjacent kwa mitaa za masonko)
Kwa wale hawana nguvu, uBroker inaeza wasaidia. Kua broker wa anything. Ata kutafutia watu manyumba na kueka punch yako hapo mtu akilipa.
…and many more.
Funding vijana waunde zile rende za kuchukua pesa ya vijana, pia siku hizi kuna Mshwari, KCB loans, Tala, Branch…you know
Like I said somewhere, this is a capitalist country na mtu anafaa atafute the closest most viable channel ya kujisaidia. Kunyang’anya watu si viable.
True there are many opportunities out there si lazima kuiba and blame the government for unemployment
thought nai kuna kazi mob za mjengo ama hao ni wale wanatafuta shortcut
We don’t care…hao saa zenye wanashoot watu hawakuwangi na huruma. Na polisi si Mungu ati ukisurrender anakusamehe dhambi zako. Wauwawe ghasia hao.