after the good advice from @Nananimpa and prayers from @Mrs4thletter nilikuja nyumbani nikaongea na bibi akanielewa sasa leo nimeambia shetani akae mbali na mimi ninaye yesu moyoni . so mimi na clichy tunacheza fifa btw nilimnunulia ps4 but i prefer ps3 , mpaka chee nikibugia my favorite drink . msapere ni cheering squad hapa kando . nimeacha tabiia mbaya .
Ango leo pikia mama home made meal mucheze cheze kama watoto mkicheka to sweet nothings chakula haitakua tamu kama yake but she will appreciate the effort halafu kuna kitu inaitwa electric dust blower safisha hio game pad meffi
Hatutaki kuitwa Harambee ango akafanyiwe operation ya makende, Kama mod Fulani hapa, Alafu watu washindwe kwani Ni baluhya tu wako Na hizo shida au Ni kurogwa