I had a rough time few hours ago at a petrol station ,where attendant was asking me to turn my jalopy ndio fuel tank iwe next to the pump that was to ejaculate*** fuel into the tank.
Attendant:Geuza gari,tank yako iko huo upande mwingine
Kimakia:Najua,lakini si pump yako ni ndefu.
Attendant:Walisema kila gari iwekwe mafuta kama tank iko karibu na pump.
Kimakia:Si umewekea huyo kama amekaa kombo.
Attendant:Hapana huyo amekataa kugeuka so sijamuekea.Ameenda bila
So I went ahead and did as the descedant from at kina @Mundu Mulosi was saying.
Lakini I can remember vividly the Roysambu incident gari ilikuwa kama vile jamaa alikuwa anasema niweke yangu.Wameambia watu kadhaa wafanye hivyo nikaona tu wakiondoka to go to the next gas station.Pia mimi on Sunday I fuelled at the same place na hakuna mtu alisumbua despite the guy saying the rule was passed 2 days after the incident.
Kusema ukweli Kenyans are dumb homo sapiens. Peculiar indeed. Common sense dictates that u place the tank opening near the pump…but watu wakiambiwa hivo wanakasirika.
Following simple common sense ndio inafanyanga Wakenya and Africans in general tubaki 3rd World. Sh!thole!!!