After Roysambu petrol station incident

I had a rough time few hours ago at a petrol station ,where attendant was asking me to turn my jalopy ndio fuel tank iwe next to the pump that was to ejaculate*** fuel into the tank.

Attendant:Geuza gari,tank yako iko huo upande mwingine

Kimakia:Najua,lakini si pump yako ni ndefu.

Attendant:Walisema kila gari iwekwe mafuta kama tank iko karibu na pump.

Kimakia:Si umewekea huyo kama amekaa kombo.

Attendant:Hapana huyo amekataa kugeuka so sijamuekea.Ameenda bila

So I went ahead and did as the descedant from at kina @Mundu Mulosi was saying.

Lakini I can remember vividly the Roysambu incident gari ilikuwa kama vile jamaa alikuwa anasema niweke yangu.Wameambia watu kadhaa wafanye hivyo nikaona tu wakiondoka to go to the next gas station.Pia mimi on Sunday I fuelled at the same place na hakuna mtu alisumbua despite the guy saying the rule was passed 2 days after the incident.

Mmejionea hayo ama ni mluyha anajichocha

Watu wazoe kulipia mafuta.

mkamba ujeuri haiwezi kusaidia

Kuna kitu moja sijai elewa na wakenya ,All cars are labeled where the gas tank is on,unless umenuna gari juzi,bona unata kusumbuana na watu.?

[ATTACH=full]168726[/ATTACH]

venye ulienda bila mafta ujue attendant mshande yake bado iko sete

Unajua kusoma

Manze me that place Roysambu has such negative vibes for me ata sipendangi kufika huko.

[COLOR=rgb(41, 105, 176)][FONT=verdana][SIZE=7]Kasarani si Roysambu…Sendhi [/SIZE][/FONT]

We knew you knew

Mimi ni mtu wa leafy surburbs utanisamehea siingii danguroni sana sana ndio niweze kuzitambua

@aviator Mbona unakana base ya kwenu?

Una fuel 500 then unaanza kuteta vile mafuta ni expensive
My fren… Anza tena

Haiya… I will not lie. I never knew that.

Next time tumia akili and go to the pump nearest to your fuel tank ama hiyo petrol station iko na pump moja?

Nyinyi ndio watu wa Kajinga Driving & Hospitality School.

mimi hapana tambua huko

Leta hekaya kaka

Maybe Its related to Msando’s Roysambu escapades

Kusema ukweli Kenyans are dumb homo sapiens. Peculiar indeed. Common sense dictates that u place the tank opening near the pump…but watu wakiambiwa hivo wanakasirika.
Following simple common sense ndio inafanyanga Wakenya and Africans in general tubaki 3rd World. Sh!thole!!!