after math day two

Inaonekana tumepatikana wengi leo hata hakuna pesa ya kukunywa keg alafu nugu ingine ilikuwa imeweka reciept ya sheesha 6000 huku mpaka ikang,olewa

@culture enda upark hii @x-trail yako. Inasumbua.

@x-trail wanted to tell you before. Hiyo title yako needs editing to read Aftermath not After math. The meaning gets lost when read as you have written…about hiyo maneno ingine umeandika hapo mi sijui :smiley:

3 Likes

mimi sijasota, it’s just that sitaki kunywa leo. Fridge yangu haikosi beer kama nne hivi and if i want i can go buy more. Kesho kuna mahali nafaa kuwa 12noon na sitaki hangovers…so leo ni maji baridi

2 Likes

Btw kwa nini hii gari xtrail watu huiogopa kuna na version iko na turbo na iko na mbio sijui nipite na moja mahali @ wheelz naeza pata moja inatupwa na 400

Si unajua Kuna majamaa wanaamini ati kunywa Ni wakati Tu msee ameenda kwa baesa, so unapata msee weekend lazima achome 7k+; Na kwa wengine hio Ni mzinga ya jack daniels Na six packs kadhaa kwa fridge Na uko seti…

1 Like

hio tabia ya kwenda baesa iko na wakenya all over the world…hata huku. Leo nime reject offer mob ya tei. Wakenya huku ukunywa Friday alafu alale kwa baesa (kuna tu bed back room),sato asubuhi kitu 10 kwa hio bar ameraukia beer kama breako. akunywe hadi sunday asubuhi…ableki kidogo alafu aendeleshe…anarudi home sunday jioni. Saizo over 200 euro imeinama na wengi huwa nikukopa watalipa mwisho wa mwezi. Fala inafanya ivo iko na familia kenya alafu unapata anawaskumia kitu 150euro…ati hio imewatosha. SMH

1 Like

Hehehe…

There’s an Xtrail GT but it’s the most expensive

Mi ni mkulima small recommend a fairly priced one

Wewe ni peasant Kama wenzako @rollout . Maskini tuu na nzi kwa mdomo juu ya kukauka mate

2 Likes

Mi sikunywangi faxe kama rollout wacha kunilinganisha na mtu ingine mi ni peasant special kivyangu peleka ubinnjwa wako hukooooh ukajibinje kuleeeh

2 Likes

Ona hii chokosh ya tanzania inataja jina yangu ovyo ovyo

Haikosi you are in Russia