After doing all that propaganda, hii ndio kazi Itumbi amepewa?

Ati member of Talanta Hela Council? Kazi ya kupanga TikTok dancers? :smiley: :smiley: :smiley: Sema asante ya punda?

A person who has a history of turning against his former boss anawekwa mbali. He can’t be trusted by the new boss.

Hapo ni mahali pa " kupunguza masaa" yeye ni tender cartel ako na Doo mingi

Soon even kina ndiindi and machungwa, cooria etc will also be cut to size coz asla anajua kire they are capable of coz he saw how they handled ouru. A dog that has a history ya kuuma mwenyewe is normally chained or caged.

Itumbi yuko sawa. Si alisema mwenyewe yeye ni mtu wa mkono wa raisi:D

Itumbi is known to gather evidence on people. Alafu baadaye anaanza “sikuwa nataka kuongea so I kept it to myself.”

He’s paranoid and has no real friends. He’s always gathering information on everyone. I imagine it must be uncomfortable to be his close friends coz he’s always" connecting the dots"

Hip ni side hustle. It was his pet project acheze na budget.

You will often hear young people say “Mama yangu ni kama kachero—sikuzote ananichunguza.

Kachero hutowa Huduma za Kadhalika, on behalf of handler mwingine. Lakini handler wa mama ndio nani.