Afrojiri Saçco

Gooood Moooorning. @Afro yuko na import @uwesmake na momo @Fala 12 ndio ameingia bed @Gio alikunja mkia @Guru yuko Kwa barabara amkeni mukanjenge inchi rangi mutuachie. Good day all am back under the blankets

2 Likes

Good morning. Mimi niko kwa duka. Talkers just sleeping baada ya kunywa faxe na daniels overnight. They become lazy.

Good morning talkers, it’s six o’clock.
Fruitful day to everyone.

Morning good people, Leo nimeamka mbele ya alarm. Have a productive day.

@Mathaais Uko na umama lakini tuko pamoja:D:D:D

Ni sawa tu mama mwenzangu.

1 Like

Poa babaa siku njema

happens a lot siku huendi mahali…

2 Likes

True coz leo siendi “kutu” hehehe

2 Likes

Very true. Like today niko tuu home na usingizi hamna lakini weekdays?

1 Like

Leo macho imefunguka 0400hrs ikabidi nianze records analysis za biz

Ibwit hio ‘mubara’ utaendesha mpaka lini.

2 Likes

Nakuonea 21 kam slowly. Hehehehe

Una snooze alarm kitu kama 100 times

Good morning. From my ritual Saturday walk from Tudor to Mama Ngina Drive (@Meria Mata kuna cheki maneno huko). Have a peaceful weekend

Wa mombasa vipi, unapepeta leo

:D:D:D:D:D:D Niko poa kaka, wacha nikimbize mradi flani, nikiwa birrionaire by jioni lazima kupepeta

Good luck mblo

1 Like

Asanda

It’s a time trial, couldn’t make it today

1 Like