AFROJIRI SACCO

Leo Uncle Uwes nimewafungulia sacco muchangamke since kuna deal ya 4 million naona ikienda through ka 1 million nachukua kama cut yangu mbaya mbaya nimeamsha mpaka mkikuyu apike cocoa sikunywangi chai . Successful day .

[ATTACH=full]55159[/ATTACH] [ATTACH=full]55160[/ATTACH] [ATTACH=full]55161[/ATTACH] [ATTACH=full]55162[/ATTACH] [ATTACH=full]55163[/ATTACH]

3 Likes

present. sisemi kitu…

Ango niaje

1 Like

Morning talkers

morning talkers good day ahead.

What the hell is this am getting? Gave me sad memories of klost.
[ATTACH=full]55165[/ATTACH]

Routine maintenance

1 Like

niaje @admin ?

2 Likes

Ok.

Uwes wacha wana. This early with your fetish?
Na upikiwange 5 course breakfast sio Cocoa (where is it sold btw).

3 Likes

Sasa sweetie. Nimekuota

1 Like

Uncle @uwesmake Congratulations, that a great deal. Me pia sijawachwa nyuma viile,kuna kathao katingia leo,alfu thursday ka 1400

2 Likes

Apana tambua alfajiri sacco.

1 Like

poa mpenzi;):wink:

1 Like

kila mtu na kiatu size yake…na maisha inaendelea…

2 Likes

Leo napata hela elfu mia moja na sisumbui wadau

Mimi kuna ka 21M kataingia Sunday… Nimeshaorder gari pale cheki…

Good morning talkers

Holla fellaz, unko uwes hiyo mita moja yako italiwa na hao mchwa umeanika hapo juu.

1 Like

[ATTACH=full]55168[/ATTACH]

12 Likes